Sunday, 27 September 2015

MAANADALIZI YA KUMPOKEA DKT. JOHN POMBE YAPAMBA MOTO MJINI IRINGA...!











Maandalizi ya kumpokea mgombea urais kupitia tiketi ya CCM Dr. John Pombe Joseph Magufuli yanaendelea leo Mkoani Iringa katika uwanja wa CCM SAMORA wote mnakaribishwa kuja kumsikiliza.  Dr. John Pombe Joseph Magufuli ambaye atakuwa sambamba na mgomea ubunge wa Iringa Mjini Frederick Mwakalebela pamoja na madiwani wake wote wa Jimbo la Iringa mjini.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...