Wednesday, 23 September 2015

UZINDUZI WA MSIMU MPYA WA TAMASHA LA MTIKISIKO IRINGA


RADIO Ebony Fm yenye makao yake makuu mkoani Iringa kupitia kipindi chake cha mchana "THE SPLASH" imezindua rasmi hewani (on air launching) msimu mwingine wa kila mwaka wa tamasha maarufu kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini linalokwenda kwa jina la "MTIKISIKO" ambalo linatarajiwa kuanza katikati ya mwezi huu na kupita karibu sehemu zote inaposikika redio hiyo baadhi ya picha za watangazaji wakiwa katika shangwe za uzinduzi huo.(PICHA zote na Denis Mlowe)

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...