Friday, 16 October 2015

MKUU WA MKOA WA IRINGA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI



Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza akiongea na wanahabari wa Mkoa wa Iringa leo katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa kuzungumzia mwenendo mzima wa kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu pamoja na kuzungumzia maandalizi wa Uchaguzi Mkuu na usalama.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...