Wednesday, 7 October 2015

MMDEA YATOA MAFUNZO KWA WAHOJAJI 60 WA KUJITOLEA


Mratibu elimu kata ya Nzihi Oscar Kawanganise (kushoto)akitoa vya ushiriki kwa wahojaji wakujitolea 60 Mkuu wa Shirika la Mazombe Mahenge Development Association (MMDEA) akitoa mafunzo kwa mahojaji sitini (60) wa kujitolea yaliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha afya Nzihi Wilaya ya Iringa, mkoani Iringa hivi karibuni.Mafunzo hayo ya kutathmini watoto wanaojua kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK) pamoja na kujua hali ya lishe yalifadhiliwa na Shiriki lisilo la kiserikali la TWAWEZA. 



Baadhi ya mahojaji  wa kujitolea wa kifuatilia mafunzo kutathmini watoto wanaojua kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK) pamoja na kujua hali ya lishe yalifadhiliwa na Shiriki lisilo la kiserikali la TWAWEZA, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Afya Nzihi wilaya ya Iringa, mkoani Iringa hivi karibuni.


Mkuu wa Shirika la Mazombe Mahenge Development Association (MMDEA), Raphael Mtitu (katikati) akitoa mafunzo kwa mahojaji sitini (60) wa kujitolea yaliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha afya Nzihi wilaya Iringa, Mkoawa Iringa hivi karibuni.

No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...