Thursday, 18 February 2016

YES TANZANIA KUTOA ELIMU YA AFYA YA UZAZI NA HAKI KWA VIJANA LOYAL COLLEGE




Mkrugenzi Mtendaji wa Chuo cha Loyal College of Africa, jijini Mbeya Bw. Uswege Kagubo Mwaitebele ameahidi kushirikiana na taasisi ya YES Tanzania kuhusiana na utoaji elimu ya afya uzazi na haki kwa vijana kwa wanafunzi wake ilikuweza kusaidia vijana hao kujikwamua kiuchumi. 

YES TANZANIA (YOUTH EDUCATION THROUGH SPORTS TANZANIA) la jijini Mbeya ambalo lina jishughulisha na uelimishaji wa ujasiliamali demokrasia na utawala bora kupitia michezo kwa vijana limeweza kusaidia vijana nchi nzima kwa kujikwamua kiuchumi.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...