Afisa Maendeleo ya Jamii Bodi ya Maji Bonde la Rufiji (RBWB), David Muginya akielezea Sheria ya Maji Na 11, 2009 watika wa warsha ya siku mbili ya Programu ya Maji Ruaha (RWP) kuhusu shughuli za mradi bonde dogo la Mbarali na mkakati wa uendelezaji wake inayoratibiwa na shirika la WWF. Warsha hiyo inafanyika katika mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
Habari ndugu msomaji wetu wa blog, Natumaini unaendelea vyema. Leo tutaanza kujifunza kilimo cha bora cha nyanya, na tutaanza kufahamu vit...
No comments:
Post a Comment