Thursday, 1 December 2016

KAYA MASKINI 78 KIJIJI CHA MAGUNGULI WALIPWA MALIPO YA MIEZI MIWILI

Afisa Maendeleo ya Jamii na Mratibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Mkoa wa Iringa, William Kingazi akizungumza na walengwa wa malipo katika mpango wa kunusuru kaya maskini Kijiji cha Magunguli wilayani Mufindi, mkoani Iringa hivi karibuni. 
Jumla ya kaya maskini 78 katika Kijiji cha Magunguli zinanufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini zimelipwa malipo ya miezi miwili (Novemba na Desemba) lakini kwa bahati mbaya wawakilishi wa kaya mbili kati hizi wamefariki dunia. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)

Afisa Maendeleo ya Jamii na Mratibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii halmashauri wa Wilaya Mufindi Mkoa wa Iringa,na Mwezeshaji katika vijiji kuhusu (TASAF) Emmanuel Mrutu akitoa utaratibu wa malipo kwa walengwa katika mpango wa kunusuru kaya maskini Kijiji cha Magunguli wilayani Mufindi, mkoani Iringa hivi karibuni.

Jumla ya kaya maskini 78 katika Kijiji cha Magunguli zinanufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini zimelipwa malipo ya miezi miwili (Novemba na Desemba) lakini kwa bahati mbaya wawakilishi wa kaya mbili kati hizi wamefariki dunia. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)

Mmoja wa wakazi wa Kijiji cha Magunguli katika Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa akipokea malipo wa miezi miwili (Novemba na Desemba) hivi karibuni. Kijiji cha Magunguli   ni mmoja ya vijiji ambavyo vipo katika mpango wa kunusuru kaya maskini unaoratibiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF). (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)

No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...