Tuesday, 31 January 2017

A BODI YA WAKURUGENZI YA BENKI YA DCB ILIYOIPONGEZA TAWI LA DCB MAGOMENI


Mkurugenzi Mtendaji wa DCB Edmund Mkwawa akizungumza wakati wa utoaji wa tuzo kwa tawi la Magomeni baada ya kufanya vyema kiutendaji na kuwapiku matawi mengine ya benki hiyo na kutakiwa kuendelea kudumisha ufanisi wa kazi.

Makamu Mwenyekiti wa bodi ya DCB Lucian Msambichaka akizungumza wakati wa utoaji wa tuzo kwa tawi la Magomeni baada ya kufanya vyema kiutendaji na kuwapiku matawi mengine ya benki hiyo na kutakiwa kuendelea kudumisha ufanisi wa kazi.

Makamau Mwenyekiti wa bodi ya DCB Lucian Msambichaka akikabudhi zawadi kwa na maafisa watano kila mmoja shilingi laki mbili (200,000) ikiwa na lengo la kuwapatia motisha ya kufanya kazi kwa bidii zaidi na kusimamia vizuri uendeshaji wa mikopo hiyo.

Makamu Mwenyekiti wa bodi ya DCB Lucian Msambichakana (wa pili kutoka kulia)akitoa zawadi ya mfano wa hundi kwa maafisa tisa kila mmoja shilingi laki tatu(300,000) ikiwa na lengo la kuwapatia motisha ya kufanya kazi kwa bidii zaidi na kusimamia vizuri uendeshaji wa mikopo hiyo.
Makamu Mwenyekiti wa bodi ya DCB Lucian Msambichakana (wa pili kutoka kulia) akimkabidhi Meneja wa Mikopo ya vikundi Maria Kabeho mfano wa hundi wa shilingi laki tano (500,000) akishuhudiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa DCB Edmund Mkwawa pamoja na wajumbe wa bodi hiyo Maharage Chande na Stephen Mulisa.

Makamu Mwenyekiti wa bodi ya DCB Lucian Msambichakana akimkabidhi alyekuwa meneja mwandamizi wa tawi la Magomeni Gray Ndandika tuzo ya Chairman's awards baada ya kuibuka kidedea.

Wafanyakazi wa tawi la Magomeni wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu Mwenyekiti wa bodi ya DCB Lucian Msambichakana, Mkurugenzi Mtendaji wa DCB Edmund Mkwawa pamoja nawajumbe wa bodi hiyo Maharage Chande na Stephen Mulisa.

Washindi mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu Mwenyekiti wa bodi ya DCB Lucian Msambichakana, Mkurugenzi Mtendaji wa DCB Edmund Mkwawa pamoja na wajumbe wa bodi hiyo Maharage Chande na Stephen Mulisa.

Wafanyakaiz wa Magomeni wakiwa wanashangilia ushindi baada ya kutangazwa.

Makamu Mwenyekiti wa bodi ya DCB Lucian Msambichakana (wa pili kutoka kushoto) akipiga makofi sambamba na Mkurugenzi Mtendaji wa DCB Edmund Mkwawa pamoja na wajumbe wa bodi hiyo Maharage Chande na Stephen Mulisa

No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...