Saturday, 20 May 2017

KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA IRINGA KINAENDELEA

Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Alex Kimbe akifungua kikao cha baraza la madiwani cha robo ya tatu ya mwaka 2016/2017 wa halmashauri hiyo leo unaofanyika katika Ukumbi wa Manispaa ya Iringa leo. (Picha na Friday Simbaya)

 Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Alex Kimbe akimkabidhi mmoja ya watumishi wa halmashauri ya Manispaa ya Iringa, Musa Mwaihojo (kulia) cheti cha pongezi ya ukusanyaji wa mapato ya ndani ya halmashauri hiyo, ikiwa ni pamoja na ushuru wa mabango na leseni wakati wa kikao cha baraza la madiwani cha robo ya tatu ya mwaka 2016/2017 wa halmashauri hiyo leo unaofanyika katika Ukumbi wa Manispaa ya Iringa leo. (Picha na Friday Simbaya)








No comments:

Tanzania Marks International Day Of The Girl Child With A Call To Protect And Empower Girls

Iringa. Tanzania has joined other nations around the world in marking the climax of the International Day of the Girl Child , commemorated...