Friday, 1 December 2017

TANZIA



TANZIA: NASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA MKWE WANGU CLEMENTINA SESMABALA KILICHOTOKEA LEO ASUBUHI NA MAPEMA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MKOANI IRINGA. MSIBA UPO KIHESA MTAA WA IDUNDA, MANISPAA YA IRINGA. RIP MAMA YETU!

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...