Thursday, 8 February 2018

KESI YA MEYA WA MANISPAA YAPINGWA KALENDA TENA


Meya wa Maanispaa ya Iringa Alex Kimbe (mbele) akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Iringa leo kusikiliza kesi inayomkabali ya kukutwa na risasi nyingi kinyume cha sheria pamoja na kumtishia Alfonce Patrick kwa bastola kinyume na sheria kifungu cha 89 (2) (a) cha Kanuni ya adhabu, ambapo kesi hiyo imeahirishwa hadi 13/02/2018. (Picha na Friday Simbaya)

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...