Sunday, 4 March 2018

AJALI, AJALI...









Ibilisi kapita barabara ya kwenda kwetu Mbeya leo hii ambapo mabasi mawili yamepata ajali.

Moja ni la Newforce ambalo limepata ajali Morogoro maeneo ya kituo cha mafuta cha TOT abiria watano wamepoteza maisha. R.I.P.

Basi la pili ni Ndenjela ambalo limeanguka maeneo ya mlima mkali wa Kitonga,mkoani Iringa ambapo inasemekana abiria woteo salama japo gari likikuwa miguu juu.


Eeh Baaba Mungu usichoke kuendelea kutulinda huko njiani amiin.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...