Monday, 1 November 2010

UCHAGUZI MKUU 2010 KATIKA JIMBO LA LUDEWA

 Mmoja wa makarani waongozaji, Joseph Mtake akihakikisha kama jina la mpiga kura lipo kwenye orodha ya majina yaliyobandikwa nje kituo cha kupigia kura kilichopo katika ofisi ya Makao Makuu ya Kata ya Ludewa mjini kabla ya mpiga kura hajaingia rasmi ndani kwa ajili ya kuwapigia kura rais na diwani. Jimbo la Ludewa (Mkoa wa Iringa) ambaye mbunge wa chama cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikujombe alipita bila kupingwa katika kura za maoni walifanya chaguzi mbili tu ya urais na udiwani katika ucgagazi Mkuu 2010.

 Mama mmoja mkazi Ludewa Mjini ambaye hakufahamika jina mara akijifuta wino kidoleni mkono wa kushoto kidole kidogo baada ya kutoka chumba cha kupigia kura katika kituo cha kipigia kura kilichopo ofisi ya makao makuu ya Kata ya Ludewa mjini jana. Kata ya Ludewa ilikuwa na jumla ya vituo vya kupigia kura 14 ambapo katika uchaguzi wa madiwani 2010 katika Kata ya Ludewa mjiini walikuwepo jumla ya wagombea wanne, ambao ni Monica Mchilo (CCM), Oscar Kikoti (CUF), Kilian Kanyaga (NCCR-Mageuzi) na Pirmini Ngailo (TLP).  Katika uchaguzi huo Monica Mchilo (CCM) aliibuka mshindi kwa kupata kura zaidi 1,800.


 Mwandishi wa habari wa The Gurdian na mmliki wa blog hii Friday Simbaya (kushoto) akifanya mahojiano na Monica Mchilo mshindi (CCM) katika uchaguzi wa wadiwani, Kata ya Ludewa Mjini nyumbani kwake leo.

UCHAGUZI MKUU 2010

Mgombea Urais kupitia chama cha CHADEMA, Dr. Wilroad Slaa akipiga kura jana mchana mjini Karatu mkoani Arusha.

Saturday, 30 October 2010

KAMPENI YA MWISHO YA DR. SLAA JIJINI MBEYA


Aliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Goodluck Haule, akimakabidhi moja ya mavazi ya chama hicho mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kukihama na kujiunga na Chadema.


Mgombea Urasi kupitia tiketi ya CHADEMA Dr. Wilibrod Slaa akisindikiswa na umati mkubwa wa wafuasi na mashabiki wa chama hicho jijini Mbeya bada ya kuitimisha kampeni zake za uchaguzi leo jijini hapa.

Thursday, 28 October 2010

HABARI KATIKA PICHA


MAWAKALA mbalimbali wa magazeti waliyoketi mkono wa kushoto wakiwa wanagawa magazeti asubuhi ya leo kwa mavendors kwa ajili ya kuyauuza kwa wateja yao. Magazeti yao huchapishwa jijini Dar es Salaam na kufika hapa mkoani Iringa kati ya saa1:70 na zaidi.


 BAADHI ya wakazi wa Mjini Iringa wakiwa wamepanda kwenye mti ilikufuatilia mkutano wa kampeni ya uchagazi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jioni ya leo, ambao ulitarajiwa kuhutubia na mgombea urasi kupitia chama hicho Dr. Wilbroad Slaa lakini bahati mbaya hukufika kutokana uwezo ulionje ya uwezo wao.

MKAZI mmoja wa Iringa Mjini (kushoto) ambayo jina lake halikupatikana mara moja alikutwa akinunua picha ya kuvaa shingoni ya Mgombea Urasi wa CHADEMA Dr. Slaa kutoka kwa mwanachama hicho leo katika mkutano wa kampeni ya uchaguzi uliofanyika viwanja vya Mwembetogwa mjini hapa, zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu oktoba 31, 2010.

VIZIWI HAWAJUI NI CHAMA KIPI CHA KUCHUGUA OCTOBA 31







Na Francis Godwin,
Iringa






HUKU ikiwa zikiwa zimebaki siku mbili pekee ili watanzania wote waliojiandikasha na wenye sifa ya kupiga kura kushiriki katika zoezi la uchaguzi wa Rais ,wabunge na madiwani zaidi ya watu walemavu wa kusikia (Viziwi) 2000 katika mkoa wa Iringa kushiriki uchaguzi mkuu katika mchezo wa bahati nasibu.






Uchunguzi wa kina uliofanywa na mwandishi wa habari hizi ndani ya mkoa wa Iringa umebaini kasoro mbali mbali ambazo zimefanywa na wagombea karibu wote wa vyama vya siasa wakati wa kampeni zao baada ya kushindwa kuweka mpango mzuri wa kuwafikia viziwi na jamii nyingine yenye ulemavu katika kunadi sera zao.






Japo kwa upande wa jumuiko la asasi za kiraia Tanzania mkoani kwa mikoa ya Iringa,Mbeya ,Rukwa na Ruvuma zimeweza kwa kiasi chake kuwakutanisha wagombea wa nafasi ya ubunge na makundi mbali mbali ya jamii wakiwemo viziwi ambao hata hivyo wamepata kusikiliza sera za baadhi ya vyama vya upinzani hasa Chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema) ambao ndio walikuwa hawakosi katika midahalo hiyo huku CCM na baadhi ya vyama hadi sasa hawajapata kukutana na watu hao .


Shaibu Juma ni katibu wa chama cha viziwi Tanzania mkoani Iringa akizungumza na mwandishi wa habari hizi alisema kuwa vyama vya siasa vimelisahau kundi la watu hao na kuwa upo uwezekano wa kundi hilo kushindwa kuchagua viongozi bora kutokana na kutofikiwa na wagombea hao katika kampeni zao ili kunadi sera zao.


Alisema kuwa uchaguzi mkuu kwa Tanzania ni uchaguzi wa kidemokrasia ambao kwa mara ya tano sasa unakwenda kushirikisha vyama vingi vya siasa katika nafasi mbali mbali pia ni uchaguzi wenye kuonyesha sura halisi ya demokrasia nchini Tanzania bila kusahau amani ,upendo na utulivu kama ilivyozoeleka kwa nchi za Afrika na dunia kwa ujumla kuwa Tanzania ni kisiwa cha amani ila hadi sasa upendo kwa viziwi bado haujaonyeshwa.


“Ikumbukwe kuwa kampeni za uchaguzi mkuu wa wabunge,madiwani na Rais zimepata kuanza kitambo kirefu na hadi sasa muda umewadia wa watanzania kuweza kutimiza haki zao za msingi kwa kuchagua Rais,mbunge na diwani…..sasa hadi sasa zaidi ya midahalo ya jumuiko la asasi za kiraia hakuna chama kilichofika kukutana na viziwi kutuomba kura “


Pamoja na kampeni hizi kuaza hadi sasa viziwi wamebaguliwa na kutengwa na uchaguzi huo kwani hakuna mgombea amepata kufika kuomba kura ama kunadi sera za chama chake hivyo ni vigumu kuchagua kiongozi bila kujua atatutumikia vipi .






Wakati chama cha viziwi mkoa wa Iringa kikieleza jinsi ambavyo kinaingia katika uchaguzi mkuu kuchagua bila kujua sera za vyama mgombea ubunge katika jimbo la Mpanda vijijini mkoani Rukwa kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ,Charlesy Makofia alisema kuwa tume ya taifa ya Uchaguzi (NEC)pia inapaswa kutupiwa lawama zote kwani ilipaswa kutoa maelekezo kwa vyama kupanga ratiba zao za kampeni kwa makundi yote ili kufikiwa na sera za wagombea.


Alisema NEC imekuwa ikieleza jinsi ambavyo walivyoandaa mazingira mazuri ya walemavu kushiriki kupiga kura bila kuweka mpango mzuri wa kuvishauri vyama kuanza kampeni zake kwa kundi la walemavu na kungekuwepo na utaratibu wa kuhakikisha kila mkutano wa kampeni viziwi wanakuwepo na kusaidiwa kuelewa sera za vyama.


Katibu wa chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa Mary Tesha alipohojiwa na mwandishi wa habari hizi kwa njia ya simu kama chama chake kimeweza kuwafikia watu hao wenye ulemavu ,alisema kuwa kimsingi viongozi wa wilaya ndio ambao walitakiwa kupanga kampeni za kuyafikia makundi hayo na kuwa anamani kuwa wamefanya hivyo japo hakuweza kuthibitisha zaidi.


Mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa mkoani Iringa Ismail Makuke ambaye pia ni makamu mwenyekiti wa chama cha Jahazi Asilia Tanzania alisema kuwa kuwa kimsingi vyama bado havikuwa na wataalam wa kusaidia kutafsiri lugha kwa viziwi japo baadhi ya walemavu hao wamekuwa wakikutana nao mitaani na kuwaomba kura japo sio kupitia mikutano hiyo.


“Tume ya Taifa ya uchaguzi yenyewe ilisema kuwa kuna vifaa maalum vya kuwawezesha viziwi kupiga kura …..ila bado watakuwa wanashiriki kuchagua viongozi bila kujua sera zao zaidi ya kutazama rangi za bendera na kuwa kuna uwezekano wa baadhi ya wagombea kukosa kura kama bendera za vyama hazitavutia machoni pa watu hao.


MWISHO

Wednesday, 27 October 2010

CORPORAL PUNISHMENT

DESPITE the government abolishing corporal punishment in schools, some teachers in some schools are still doing it. Teachers at Mtwivila Primary School in Iringa Municipal council on Wednesday were found walking pupils on their knees into classrooms together with canning them in their backs and some of the pupils were also doing manual labour in the school flower garden for late coming in the morning. (Photo. FRIDAY SIMBAYA)

Tuesday, 26 October 2010

TATIZO LA MAJI SHULENI

Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mtwivila Manispaa ya Iringa kushoto alitolewa darasani asubuhi na mwalimu wake ili akachote maji kwa ajili ya kumwagilia maua kutoka kwenye mfereji wa maji machafu (mchambawima) kutokana tatizo la maji linayoikumba shule hiyo leo. (PICHA. FRIDAY SIMBAYA)

IRINGA REGION HAS A TOTAL NUMBER OF 2,367 POLLING STATIONS

WITH few days remaining before the Election Day on October 31, 2010 towards general election 2010, Iringa Region have a total of 785, 192 eligible voters and also 2,367 polling stations have been earmarked , it has been revealed.


Speaking on Tuesday during an interview with ‘The Guardian’, the Regional Election Coordinator (REC) Barnabas Ndunguru said that every thing have been set well towards the preparations of the general election.


He told this newspaper that all electoral materials including the ballot papers have already arrived in all electoral constituencies of Iringa Region ready for the balloting.


Ndunguru who is also Assistance Regional Administrative Secretary (Administration) said that National Electoral Commission (NEC) has done fantastic job, whereby it has managed to bring electoral materials on time.


“We have already received all the necessary electoral materials as earlier as possible in our region from NEC and all the names of electorates have already been pasted on the various polling stations and also the exercise of checking their names by voters is going on smoothly but if anything will happen I will be informed by my returning officers and their assistants,” the REC noted.


Iringa Region had targeted to register a total of 930,271 voters in the permanent voter register earlier this year but only 785,192 which is equivalent to 84 percent of the total number of people registered.


The REC also named the electoral constituencies as Iringa Urban, Isimani, Kalenga, Kilolo, Mufindi North, Mufindi South, Njombe North, Njombe West, Njombe North, Makete and Ludewa.


He noted that Isimani Constituency is among the lowest number of people registered in the permanent register, and Kilolo Constituency has recorded the highest number eligible voters respectively in the region.


According to REC, there is no any political violence that has been reported in the region although there some few misunderstandings between the political parties which were normal and could not bring about political unrest.




Mwanafunzi wa Darasa la Sita katika Shule ya Msingi Mtwivila Manispaa ya Iringa Francisco Sanga (13) kulia alitolewa darasani asubuhi na mwalimu wake ili akamwangalizie jina  la ndugu yake katika Kituo cha Kupigia Kura namba 00012598 kilichopo shuleni hapo. Mwanafunzi huyu alisema kuwa alitumwa na mwalimu wake kumwaangalizia jina moja la ndugu yake aitwaye Tunu Mohamed Mbaruku leo. (PICHA. FRIDAY SIMBAYA)

Monday, 25 October 2010

GRADUATION CEREMONY FOR JOHN ALMASY


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam William Lukuvi akimpongeza Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Iringa, John Almasy katika sherehe ya kumpongeza baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Biashara na Utawala-Masoko (Master of Business Administration) ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini, iliyofanyika katika Ukumbi wa RUCO Jumapili.





Bw. John Almasy kulia na mke wake Hosiana Almasy wakiwa wameshika glasi za campaign.




Baadhi ya wageni waalikwa katika sherehe ya John Almasy (Graduation Ceremony on 24/10/2010-RUCO Main Hall)

Sunday, 24 October 2010

MAHAFALI YA 13 YA CHUO KISHIRIKI CHA IRINGA-TUMAINI

 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Askofu  Dk. Alex Malasusa (kushoto) akisimama pamoja na wageni waalikwa wengine kwa ajili ya kuimba wimbo wa Taifa (National Anthem) katika Mahafali 13- 2010 ya Chuo Kuu Kishiriki cha Iringa, uliyokuwa unaogozwa na Kikundi cha Maturumbeta na Sanaa cha KJ 841 cha Mafinga JKT, Iringa. Vile vile kusho ni Askofu Dk. Odenburge Mdegella Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kishiriki cha Iringa akuwakaribisha wageni wote na kuongeza sala na wimbo wa Taifa.



Baadhi ya wahitimu 852 katika Mahafali ya Chuo hicho wa kishiriki sala na wimbo wa Taifa.





THE Vice Chancellor for Tuimaini University, Prof. John Shao has called upon graduates to provide services to the community diligently when they go back to home despite the challenges that are there in society hence poverty reduction and quality life improvement.


The vice chancellor was speaking on Saturday during the 13th graduation ceremony 2010 of Tumaini University-Iringa University College (IUCO) held at Iringa Campus grounds in Iringa Region.

Prof. Shao said graduates should make sure that they serve the community and help to bring new hope in different areas and so help them come out the poor quality situation.

He noted that the academic resources they have acquired from the university can change the society for the better by using their intellectuals they have obtained from the higher learning institutions.

“We know that there are a lot challenges that the society were facing right now but through careers that you have you can do thing to change situation at least and the government to make it delivering services to its people,” he said.

There were a total of 852 students graduated in various disciplines including certificate in wondering Sheppard’s whereby nomadic pastoralists were given special course in how to become permanent livestock keepers by avoiding nomadic way life and 10 students mostly the Maasai community graduated.

Due to the issue of climate change and environmental degradation the nomadic way of life done by mostly the pastoralists’ community should be avoided in order to protect the environment.

Other awards were master of business administration, 108 students, and postgraduate diploma in management four (4), postgraduate diploma in education-administration (22), degree of bachelor of divinity (7), and degree of bachelor in counseling (45), degree of bachelor of administration (68) and degree of Bachelor of Arts in journalism (22).

Also, degree of bachelor of cultural and tourism (122), degree of bachelor of arts in community development (122), degree of bachelors of laws (134), bachelor of science in education (mathematics) (120), degree of bachelor of science in information and technology (27), diploma in technology (13) and certificate of business administration (37) respectively honored to them by Tumaini University Chancellor Bishop Alex Malasusa the guest of honor during 13th graduation ceremony.

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...