Saturday, 25 December 2010

CHRISMAS PHOTOS

 Tanzania ina ungana na dunia kusherehekea siku ya kuzaliwa mkombozi wa ulimwengu. Hapa ndipo mtoto Yesu alipozaliwa katika zizi la ng'ombe Bethlehemu.

 Kutoka kushoto kwenda kulia ni Kris Simbaya (Jr) na Ken Simbaya (Jr) wakiwa katika pozi ya picha maeneo ya Peramiho Songea, Mkoa wa Ruvuma.

 Kutoka kushoto kwenda kulia ni Friday Simbaya, Kris Simbaya, Ken Simbaya na Lina Changwa wakiwa katika picha ya pamoja siku ya Krismas.

Mama Simbaya ambaye ni mke mpendwa wa mmiliki wa blog hii akiwa na watoto wake walipokuwa wa kisherekea siku kuu ya Krismas  leo jioni.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...