Kesho ni Siku Kuu ya Wafanyakazi duniani (Mei Mosi), ambapo timu ya soka ya wafanyakazi wa misioni Peramiho itamenyana na timu ya watumishi wa serikali katika viwanja vya Peramiho wilayani Songea, mkoani Ruvuma, ikiwa ni sehemu yao ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani. Pia timu ya wanawake ya mpira wa Pete (Netball) ya Peramiho vile vile itashuka dimbani kumenyana na timu ya wafanyakazi wa serikali katika mechi zitakazoanza Saa Kumi jioni. Mgeni Rasmi anatarajia kuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mhe. Jenister Mhagama (CCM) akiambatana na viongozi wengine chama hicho na viongozi serikali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini MIEMBE hulimwa karibu katika nchi zote zilizoko kwenye ukanda wa joto, na hasa tropiki. Nchini ...
-
The most deadly form of tuberculosis is one that lies in wait inside the body for years, attacking at the first sign of weakness. Abou...
No comments:
Post a Comment