Wednesday, 3 August 2011

MALKIA WA MCHWA HUYU HAPA

Matola Suleiman mkazi wa Songea Mahenge katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma akiwa ameshika malkia wa mchwa mkononi kutoka kwenye shimo alikojificha chini ya sakafu ya nyumba ya mkazi wa Peramiho leo. Sulemani ambaye ni mwenyeji wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma alisema alianza kazi ya kutoa mchwa tangu 1980. Tatizo la mchwa ni kubwa katika Mkoa wa Ruvuma.



Shimo alimopatika Malkia wa mchwa ili hapa.


Malkia wa mchwa  jinsi anavyoonekana vizuri. Pembeni mwa malkia wa mchwa ni kadume ka malkia.

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...