Tuesday, 30 August 2011

WANOVISI WAKIBENEDKTINI

Baadhi ya wanovisi kutoka mashirika mbalimbali ya kitawa na walezi wao wakiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Songea Norbert Mtega (katika walioketi) katika kongamano lao la kubadilishana mawazo na ujuzi hivi karibuni. Walioudhuria kongamano hilo ni  watawa kutoka katika nyumba za kitawa za Peramiho (Wenyeji), Abasia ya Ndanda, Abasia ya Hanga, Abasia ya Mvimwa, Bikiria Maria Msaada wa Wakristo Ndanda-Ndolo, Mt. Agnes Chipole, Wakaimadores-Mafinga na Mt. Gertrude Imilwaha.


No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...