Kris Simbaya na rafiki zake Lisa Mlowezi na Laurence Fusi siku yao ya mahafali yaliyofanyika tarehe 24.11.2011, jumla ya wanafunzi waliohitimu, wakiwemo 12 watakaoanza shule ya msingi na sita awali, baada yakumaliza elimu ya chekechea.
Kris (kushoto) na Lisa na Lau
Kris Simbaya akivishwa mataji na mama yake.
Walimu wa Talent Chekechea, Oifemia Mkua na Maua Lwambano wakitambulishwa na mlezi mkuu wa shule hiyo hayupo pichani kwa wazazi na walezi wa watoto siku ya mahafali.
No comments:
Post a Comment