Wednesday, 22 October 2014

Mizengo Pinda kuwania Urais


Waziri Mkuu , Mizengo Pinda, ametangaza nia yake ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao .
Pinda aliyasema hayo mjini London ambako mkutano wa viongozi unaoangazia uwekezaji zaidi katika bara la Afrika unaendelea .
Viongozi hao wanatumaini kuyashawishi mashirika makubwa zaidi ya uwekezaji, katika mkutano huo wa siku mbili, kwamba yanafaa kuwekeza zaidi katika mataifa ya Afrika, hasa Nigeria, Uganda, Tanzania, Rwanda, Ghana na Togo. (BBC)

No comments:

ASAS AWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU VURUGU ZA UCHAGUZI

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas , amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchagu...