Friday, 9 January 2015

KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA MKOA (RCC) KINAENDELEA KATIKA UKUMBI WA SIASA NI KILIMO...!
















mkaguzi kutoka ofisi ya mdhibiti na mkaguzi mkuu ya hesabu za serikali mkaoni Iringa, Tukulonda Njela akiwasilisha taarifa ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kwa mwaka wa fedha 2012/13 mkoa wa iringa wakati wa kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa (RCC) leo mchana.
kutokana na ripoti ya jumla ya CAG iliyowasilishwa bungeni inayonyesha kuwa ofisi ya mkuu wa mkoa iringa imepata hati yenye shaka na sababu zake zimeanishwa katika taaria hiyo.




Mbunge wa jimbo la kilolo, profesa peter msolla (Mb) akichangia mada wakati kikao cha rcc.



Mratibu wa ukimwi mkoa wa iringa dr. luvanda akiwasilisha taarifa wakati kikao cha rcc.

No comments:

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...