Monday, 24 November 2014

KABATI ATAKA WANAWAKE WAJITOKEZE KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI








MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) amewakata wananchi kutokubali kudanganywa na vyama vya siasa vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) juu ya katiba inayopendekezwa na badala yake kuungana na watanzania wapenda maendeleo kuikubali katiba hiyo muda utakapofika.

Sunday, 23 November 2014

Choo bora na Mikono safi kwa afya bora utu na usawa








Mkazi wa Kijiji cha Ifunda, Wilaya ya Iringa, mkoani Iringa Richard Ng’onda amesema vyoo bora katika kijiji chao itakuwa ni ndoto za mchana kutokana na ukosefu wa huduma ya maji safi na salama.

Magazeti Leo Jumapili


1_copy_c66d2.jpg

MTAA KWA MTAA, HAPA NI MTAA WA IDUNDA...!

MKAZI mmoja ambaye hakufahamika jina lako mara moja akiokota vitu mbalimbali toka jalala lililopo mtaa wa Idunda Manispaa ya Iringa leo. Kwa maelezo ya baadhi ya wakazi wa mtaa huo walisema kuwa taka hizo hazijazolewa kwa muda mrefu na  Malmashauri ya Manispaa kiasi cha kuhatarisha afya kwa wakazi wao hasa watoto, kama ilivyokuwa mtoto huyu akijitafutia vitu kutoka kwenye jalala leo mchana. Hivi

Sata Died of Heart Attack, Was Not Poisoned – Mulenga Sata

Mulenga was one of the many family and government officials that profusely denied speculation of the President’s illness.

Mulenga said his father died of a heart attack and not poisoning as some people were speculating.

Tax collections up in Iringa

Mfanyabiashara maarufu mkoani Iringa Salim Asas akionyesha cheti baada ya kuongoza kwa kundi la walipa kodi wakubwa kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo wakati wa kilele cha maadhimisho ya nane ya siku ya mlipakodi. (Picha na Friday Simbaya)
 https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/u/0/?view=att&th=149d67dcc647c2f0&attid=0.2&disp=inline&realattid=f_i2so0i3h1&safe=1&zw&saduie=AG9B_P9BRHotx0LdPyXvG8i9awjW&sadet=1416743779170&sads=zZue12IqH31qb3kb8q-INXSbbRQ
Walipa kodi na wadau mbalimbali wakiwa katika maandamano kutoka ofisi za TRA mkoa wa Iringa hadi Ukumbi wa IDYDC Multipurpose Hall jana wakati wa kilele cha maadhimisho ya nane ya siku ya mlipakodi. (Picha na Friday Simbaya)

Tax collections in Iringa Region has increased considerably in 2013/14 financial year to Sh35.63 billion from the previous record of Sh29.04 billion in 2012/2013 financial year, being a 22.7 percent increase.

Friday, 21 November 2014

SIKU YA CHOO DUNIANI, SIKU YA UNAWAJI MIKONO DUNIANI NA WIKI YA USAFI TANZANIA

MMOJA ya wakazi wa Kitongoji cha Mpwapwa, Kijiji cha Kihanga katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa akinawa mikono kwa sabuni kutoka kwenye kibuyu mchirizi. Kitongoji hicho kimefikia hatua ya kutangazwa kuwa kitongoji kisichotupa kinyesi ovyo (Open Defecation Free Sub- village) na kuzawadiwa vifaa vya ujenzi (bati 10 na saruji mifuko 8) vyenye thamani ya laki tatu. Awali timu wa wataalamu toka sekretarieti ya mkoa pamoja na timu ya wataalamu kutoka halmashauri zote katika mkoa zilifanya ziara ya mafunzo katika maeneo mbalimbali yanayofanya vizuri katika uboreshaji wa huduma za maji, afya na usafi wa mazingira. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)


NJIA BORA YA KUOKOA MAISHA YA WATOTO NA JAMII NI KUNAWA MIKONO











Kilele cha maadhimisho ya siku ya choo duniani, siku ya unawaji mikono na wiki ya usafi Tanzania imefikia kikomo ambapo zaidi ya watu bilioni 4.5 tu ndio wanaomiliki na kutumia vyoo bora huku watu bilioni 2.5 duniani kote hasa maeneo ya vijijini hawana vyoo bora.

PF GAME OF THRONES, THE SUSPENSION LETTER IN FULL & REASONS BEHIND THE DECISION




In reading the suspension letter, PF Member of the Central Committee from Central Province Benson Chali clarified that Dr. Guy Scott had been suspended from the party but would continue in his state capacity as Acting President of the Republic of Zambia.

WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...

Na Friday Simbaya, Mufindi  Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...