Monday, 12 January 2015
Sunday, 11 January 2015
Msambatavangu: Vijana msikubali kutumika kisiasa...!
Afisa Kilimo waManispaa ya Iringa, Robert Semaganga
akionyesha mfano ya namna ya kuchimba mashimo ya kupanda mbegu za alizeti katika shamba la vijana lililopo kijiji cha Kising'a wilayani Iringa jana.
Mpishi akipika chakula kwa ajili ya vijana waliokwenda kupnada mbegu za
alizeti katika shamba la vijana lililopokijiji cha Kising'a wilayani Iringa jana.
Vijana wakishuka kwenye gari baada ya kufika shambani kwa ajili ya kupanda alizeti katika shamba la vijana lililopo kijiji cha Kising'a wilayani Iringa jana.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu akishiriki kupanda alizeti katika shamba la vijana
lililopo kijiji cha Kising'a wilayani Iringa jana.
Mpishi akimuandaa ndege aina kwale aliyenaswa kwenye mtego katika shamba la utafiti la uyole ambapo vijana zaidi ya 100 kutoka zote za manispaa ya iringa walishiriki kupanda alizeti katika shamba la vijana
lililopo kijiji cha Kising'a wilayani Iringa jana.
Vijana wakifungua mfuko wa mbegu za alizeti kwa ajili ya kupanda.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa shamba la utafiti la uyole kabla ya kushiriki kupanda alizeti katika shamba la vijana
lililopo kijiji cha Kising'a wilayani Iringa jana.
Saturday, 10 January 2015
Friday, 9 January 2015
Thursday, 8 January 2015
BREAKING NEWS....AJALI YA BASI NA LORI IRINGA YAUA ZAIDI YA WANNE LEO
Basi la kampuni ya Enuel lenye namba za usajili T 919 DCD kulia likiwa limegongana na lori usajili T 122 ALW mali ya Trasisco ya mkoani Arusha
|
WATU wanne wamefariki dunia papo hapo na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya Enuel Express kugongana na lori eneo la kijiji cha Idetero wilaya ya Mufindi mkoani Iringa .
MSONGAMANO WA MAGARI MJINI IRINGA...!
Msongamano wa magari leo maeneo ya posta mjini Iringa kutoka na ujenzi wa barabara ya Iringa-Dodoma unaoendelea na kampuni ya kichina.
Fundi wa gereji katika kituo c cha mafuta cha TFA cha mjini Iringa, Mzee Haruna (wa pili kulia) akipata kikombe cha chai asubuhi kwa mama muuza chai karibu na kituo hicho leo, ambapo kikombe kimoja cha chai uuzwa shilingi mia mbili tu.
MWANDISHI WA HABARI ATANGAZA KUMVAA KAYOMBO MBUNGE WA MBINGA MASHARIKI
Humphrey Kisika |
KWA vyovyote iwavyo, mapigo ya moyo ya Mbunge wa Jimbo la Mbinga Mshariki mkoani Ruvuma, Gaudance Kayombo yataongezeka mara dufu baada ya kijana msomi; Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Humphrey Kisika (32) kutangaza nia ya kuwania ubunge wa jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Subscribe to:
Posts (Atom)
WATOTO WAITAKA SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI ...
Na Friday Simbaya, Mufindi Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Mufindi mkoani Iringa wameiomba serikali kwa kush...
-
KIKUNDI cha Upendo ni kikundi cha kina mama 20 walioamua kujiunga kwa pamoja na kuanz...
-
Peter Mbata's the Deputy Headmaster and Amon Chota (academic master). Headmaster of Ifunda Technical School, Mpambwe Paul ...
-
Habari ndugu msomaji wetu wa blog, Natumaini unaendelea vyema. Leo tutaanza kujifunza kilimo cha bora cha nyanya, na tutaanza kufahamu vit...